Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 5:22-24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Sasa mmoja wa maofisa wasimamizi wa sinagogi, aliyeitwa Yairo akaja, na alipomwona Yesu, akaanguka miguuni pake.*+ 23 Akamsihi mara nyingi, akisema: “Binti yangu mdogo ni mgonjwa sana.* Tafadhali njoo uweke mikono yako juu yake+ ili apone na kuishi.” 24 Ndipo Yesu akaenda pamoja naye, na umati mkubwa ulikuwa ukimfuata na kumsonga.

  • Luka 8:41, 42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Lakini tazama! mwanamume anayeitwa Yairo akaja, alikuwa ofisa msimamizi wa sinagogi. Akajiangusha miguuni pa Yesu akaanza kumsihi aende nyumbani kwake,+ 42 kwa sababu binti yake wa pekee,* mwenye umri wa miaka 12 hivi, alikuwa karibu kufa.

      Yesu alipokuwa akienda umati ukamsonga.

  • Yohana 11:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Yesu akamwambia: “Mimi ndiye ufufuo na uzima.+ Yule anayeniamini, hata akifa, ataishi tena;

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki