Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 8:45-48
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 45 Ndipo Yesu akauliza: “Ni nani aliyenigusa?” Wote walipokuwa wakikana, Petro akasema: “Mwalimu, umati umekuzunguka na kukusonga.”+ 46 Lakini Yesu akasema: “Mtu fulani amenigusa, kwa maana ninajua nguvu+ zimenitoka.” 47 Yule mwanamke alipoona kwamba hakuepuka kutambuliwa, akaja akitetemeka na kuanguka chini mbele yake, akaeleza mbele ya watu wote sababu iliyomfanya amguse na jinsi alivyoponywa mara moja. 48 Lakini Yesu akamwambia: “Binti yangu, imani yako imekuponya. Nenda kwa amani.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki