Marko 6:56 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 56 Na kila mahali alipokwenda katika vijiji, majiji, au mashambani watu waliwaweka wagonjwa sokoni, na kumsihi waguse tu upindo wa vazi lake la nje.+ Na wote waliougusa wakapona.
56 Na kila mahali alipokwenda katika vijiji, majiji, au mashambani watu waliwaweka wagonjwa sokoni, na kumsihi waguse tu upindo wa vazi lake la nje.+ Na wote waliougusa wakapona.