Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 20:45-47
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 45 Watu wote walipokuwa wakimsikiliza, akawaambia wanafunzi wake: 46 “Jihadharini na waandishi wanaopenda kutembea wakiwa wamevaa kanzu na wanaopenda kusalimiwa sokoni, na viti vya mbele* katika masinagogi na mahali penye heshima zaidi kwenye milo ya jioni,+ 47 na ambao humaliza nyumba* za wajane na kutoa sala ndefu ili waonekane.* Hao watapata hukumu kali* zaidi.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki