Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 9:2-8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Na tazama! wakamletea mtu aliyepooza, akiwa amelala kwenye kitanda.* Alipoona imani yao, Yesu akamwambia yule mtu aliyepooza: “Jipe moyo mwanangu! Umesamehewa dhambi zako.”+ 3 Sasa baadhi ya waandishi wakaambiana: “Mtu huyu anakufuru.” 4 Yesu, akijua fikira zao, akasema: “Kwa nini mnawaza mambo maovu katika mioyo yenu?+ 5 Kwa mfano, ni jambo gani rahisi zaidi kusema, ‘Umesamehewa dhambi zako,’ au kusema, ‘Simama utembee’?+ 6 Hata hivyo, ili mjue kwamba Mwana wa binadamu ana mamlaka ya kusamehe dhambi duniani—” kisha akamwambia yule mtu aliyepooza: “Simama, chukua kitanda chako, uende nyumbani.”+ 7 Ndipo akasimama, akaenda nyumbani. 8 Umati ulipoona hivyo ukaogopa, nao wakamtukuza Mungu aliyewapa wanadamu mamlaka ya namna hiyo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki