Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 9:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Hakuna mtu anayeshona kiraka cha kitambaa kipya juu ya vazi la nje la zamani; kwa maana hicho kitambaa kipya kitatoka kwenye hilo vazi nalo litararuka vibaya zaidi.+ 17 Wala watu hawaweki divai mpya katika viriba vya divai vilivyochakaa. Wakifanya hivyo, viriba hivyo vitapasuka na divai itamwagika navyo viriba vitaharibika. Lakini watu huweka divai mpya katika viriba vipya vya divai, na vitu vyote viwili huhifadhiwa.”

  • Marko 2:21, 22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Hakuna mtu anayeshona kiraka cha kitambaa kipya juu ya vazi la nje la zamani. Akifanya hivyo, kitambaa kipya kitatoka kwenye vazi la zamani, nalo litararuka vibaya zaidi.+ 22 Pia, hakuna mtu anayeweka divai mpya katika viriba vya divai vilivyochakaa. Akifanya hivyo, divai itapasua ngozi ya viriba naye atapoteza divai pamoja na ngozi. Lakini divai mpya huwekwa katika viriba vipya vya divai.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki