-
Mathayo 9:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 Wala watu hawaweki divai mpya ndani ya viriba vya divai vikuukuu; lakini wakifanya hivyo, ndipo vile viriba vya divai hupasuka na ile divai humwagika na vile viriba vya divai huharibika. Bali watu huweka divai mpya ndani ya viriba vipya vya divai, na vitu vyote viwili huhifadhiwa.”
-