-
Mathayo 9:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Wala watu hawaweki divai mpya katika viriba vya divai vilivyochakaa. Wakifanya hivyo, viriba hivyo vitapasuka na divai itamwagika navyo viriba vitaharibika. Lakini watu huweka divai mpya katika viriba vipya vya divai, na vitu vyote viwili huhifadhiwa.”
-