Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 17:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Baada ya mambo hayo, mwana wa mwanamke huyo mwenye nyumba akawa mgonjwa, na hali yake ikawa mbaya sana hivi kwamba akakata pumzi.+

  • Luka 8:41, 42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 41 Lakini tazama! mwanamume anayeitwa Yairo akaja, alikuwa ofisa msimamizi wa sinagogi. Akajiangusha miguuni pa Yesu akaanza kumsihi aende nyumbani kwake,+ 42 kwa sababu binti yake wa pekee,* mwenye umri wa miaka 12 hivi, alikuwa karibu kufa.

      Yesu alipokuwa akienda umati ukamsonga.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki