Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 27:55
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 55 Na wanawake wengi ambao walikuwa wamemfuata Yesu kutoka Galilaya ili kumhudumia walikuwa wakitazama kwa mbali;+

  • Marko 15:40, 41
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 40 Kulikuwa pia na wanawake wakitazama kwa mbali, miongoni mwao kulikuwa na Maria Magdalene, Salome, na Maria mama ya Yakobo Mdogo na Yose,+ 41 walikuwa wakifuatana na Yesu na kumhudumia+ alipokuwa Galilaya, pia wanawake wengine wengi waliokuwa wamekuja Yerusalemu pamoja naye.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki