Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Marko 5:35-37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Alipokuwa bado anazungumza, watu fulani kutoka nyumbani kwa yule ofisa msimamizi wa sinagogi wakaja na kusema: “Binti yako amekufa! Kwa nini uendelee kumsumbua Mwalimu?”+ 36 Lakini Yesu akasikia maneno yao naye akamwambia yule ofisa msimamizi wa sinagogi: “Usiogope, uwe tu na imani.”*+ 37 Hakumruhusu mtu yeyote amfuate isipokuwa Petro, Yakobo, na Yohana ndugu ya Yakobo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki