Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 10:40
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 40 “Yeyote anayewapokea ninyi ananipokea mimi pia, na yeyote anayenipokea mimi anampokea pia Yule aliyenituma.+

  • Marko 9:37
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 37 “Yeyote anayempokea mtoto mdogo+ kama huyu kwa msingi wa jina langu ananipokea mimi pia; na yeyote anayenipokea mimi hanipokei mimi tu, bali pia Yule aliyenituma.”+

  • Yohana 13:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Kwa kweli ninawaambia, yeyote anayempokea yule ninayemtuma ananipokea mimi pia,+ na yeyote anayenipokea, anampokea pia Yule aliyenituma.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki