Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 21:45, 46
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 45 Wakuu wa makuhani na Mafarisayo waliposikia mifano ya Yesu, wakajua kwamba alikuwa akizungumza kuwahusu.+ 46 Ingawa walitaka kumkamata, waliogopa umati, kwa sababu walimwona kuwa nabii.+

  • Marko 12:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Ndipo wakataka kumkamata, lakini waliuogopa umati, kwa maana walijua kwamba mfano aliosema uliwahusu. Basi wakamwacha na kwenda zao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki