Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 24:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Yesu alipokuwa akitoka hekaluni, wanafunzi wake wakamkaribia na kumwonyesha majengo ya hekalu. 2 Akawaambia: “Je, mnaona vitu hivi vyote? Kwa kweli ninawaambia, hakuna jiwe litakaloachwa hapa juu ya jiwe lingine bila kuangushwa chini.”+

  • Marko 13:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Alipokuwa akitoka hekaluni mmoja wa wanafunzi wake akamwambia: “Mwalimu, ona! jinsi mawe na majengo haya yalivyo maridadi!”+ 2 Hata hivyo, Yesu akamwambia: “Unayaona majengo haya makubwa? Hakuna jiwe litakaloachwa hapa juu ya jiwe lingine bila kuangushwa chini.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki