Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 27:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Baada ya kumfunga, wakampeleka na kumkabidhi kwa Pilato, gavana.+

  • Marko 15:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Mara tu kulipopambazuka wakuu wa makuhani, wazee, na waandishi, yaani, Sanhedrini yote, wakashauriana pamoja na kumfunga Yesu, kisha wakampeleka na kumkabidhi kwa Pilato.+

  • Yohana 18:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Kisha wakamtoa Yesu kwa Kayafa na kumpeleka kwenye makao ya gavana.+ Ilikuwa asubuhi mapema. Lakini wao hawakuingia ndani ya makao ya gavana, ili wasitiwe unajisi+ kwa sababu walitaka kula mlo wa Pasaka.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki