15 Hata hivyo, wakasema kwa sauti kubwa: “Mwondoe! Mwondoe! Atundikwe mtini!” Pilato akawaambia: “Je, mnataka nimuue mfalme wenu?” Wakuu wa makuhani wakajibu: “Sisi hatuna mfalme ila Kaisari.” 16 Kisha akamkabidhi kwao ili auawe kwenye mti.+
Basi wakamchukua Yesu.