-
Yohana 19:15Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
15 Hata hivyo, wakapaaza sauti: “Mwondolee mbali! Mwondolee mbali! Mtundike mtini!” Pilato akawaambia: “Je, nitamtundika mtini mfalme wenu?” Makuhani wakuu wakajibu: “Sisi hatuna mfalme ila Kaisari.”
-