Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 4:40
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 40 Basi Wasamaria walipomjia, wakamwomba akae pamoja nao, naye akakaa huko siku mbili.

  • Yohana 4:42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 nao wakamwambia yule mwanamke: “Hatuamini kwa sababu tu ya maneno yako; kwa maana sisi wenyewe tumesikia, na tunajua kwamba kwa hakika mtu huyu ndiye mwokozi wa ulimwengu.”+

  • Yohana 6:68, 69
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 68 Simoni Petro akamjibu: “Bwana, tutaenda kwa nani?+ Wewe una maneno ya uzima wa milele.+ 69 Tumeamini na tumejua kwamba wewe ndiye Mtakatifu wa Mungu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki