-
Yohana 4:42Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
42 nao wakaanza kumwambia huyo mwanamke: “Hatuamini tena kamwe kwa sababu ya maongezi yako; kwa maana sisi tumejisikilia wenyewe nasi twajua kwamba mtu huyu kwa hakika ndiye mwokozi wa ulimwengu.”
-