Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 7:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Kisha Yesu alipokuwa akifundisha hekaluni akasema kwa sauti kubwa: “Ninyi mnanijua na pia mnajua nilikotoka. Nami sikuja kwa uamuzi wangu mwenyewe,+ lakini Yule aliyenituma ni halisi, nanyi hammjui.+

  • Yohana 13:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Basi, Yesu akijua kwamba Baba alikuwa ameviweka vitu vyote mikononi mwake na kwamba alikuja kutoka kwa Mungu na alikuwa akienda kwa Mungu,+

  • Yohana 16:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Nilikuja nikiwa mwakilishi wa Baba, nami nimekuja ulimwenguni. Sasa ninaondoka ulimwenguni, nami ninarudi kwa Baba.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki