Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yohana 7:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Hata hivyo, wengi katika umati walimwamini,+ nao wakaanza kusema: “Kristo atakapokuja, je, atafanya ishara nyingi kuliko alizofanya mtu huyu?”

  • Yohana 11:44, 45
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 44 Mtu huyo aliyekuwa amekufa akatoka, miguu na mikono yake ikiwa imefungwa kwa vitambaa, na uso wake ukiwa umefungwa kwa kitambaa. Yesu akawaambia: “Mfungueni, mmwache aende.”

      45 Kwa hiyo, Wayahudi wengi waliokuwa wamekuja kwa Maria, wakamwamini Yesu walipoona alichofanya,+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki