Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 26:63-65
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 63 Lakini Yesu akakaa kimya.+ Basi kuhani mkuu akamwambia: “Ninakuapisha mbele za Mungu aliye hai utuambie kama wewe ndiye Kristo, Mwana wa Mungu!”+ 64 Yesu akamjibu: “Wewe mwenyewe umesema. Lakini ninawaambia: Tangu sasa mtamwona Mwana wa binadamu+ akiwa ameketi kwenye mkono wa kuume wa nguvu,+ akija juu ya mawingu ya mbinguni.”+ 65 Ndipo kuhani mkuu akayararua mavazi yake ya nje, akisema: “Amekufuru! Tunahitaji mashahidi wengine wa nini? Tazama! Sasa mmemsikia akikufuru.

  • Yohana 5:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Basi Wayahudi wakazidi kutafuta njia ya kumuua, kwa sababu hakuwa tu akivunja Sabato bali pia alikuwa akimwita Mungu Baba yake,+ akijifanya kuwa sawa na Mungu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki