Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 23:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Ndipo wakaanza kumshtaki,+ wakisema: “Tulimkuta mtu huyu akipindua taifa letu na kuwakataza watu wasimlipe Kaisari kodi,+ akisema kwamba yeye mwenyewe ni Kristo mfalme.”+

  • Matendo 17:6, 7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Walipowakosa wakamkokota Yasoni na baadhi ya akina ndugu mpaka kwa watawala wa jiji, wakisema kwa sauti kubwa: “Watu hawa ambao wameipindua* dunia inayokaliwa wako hapa pia,+ 7 naye Yasoni amewakaribisha. Watu hao wote wanapinga maagizo ya Kaisari, wakisema kuna mfalme mwingine, Yesu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki