Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 24:15, 16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Sasa walipokuwa wakiongea na kujadiliana kuhusu mambo hayo, Yesu akakaribia na kuanza kutembea pamoja nao, 16 lakini macho yao yalizuiwa wasiweze kumtambua.+

  • Yohana 20:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Hata hivyo, Maria akaendelea kusimama nje ya kaburi akilia. Alipokuwa akilia, akainama kutazama ndani ya kaburi,

  • Yohana 20:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Baada ya kusema hayo, akageuka na kumwona Yesu akiwa amesimama hapo, lakini hakutambua kwamba ni Yesu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki