Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 2:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Binti ya Farao aliposhuka kwenye Mto Nile ili kuoga, watumishi wake wa kike walikuwa wakitembeatembea kando ya Mto Nile. Binti ya Farao akaona kikapu hicho kati ya matete. Mara moja akamtuma kijakazi wake akilete.+

  • Kutoka 2:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Mtoto huyo alipokuwa mkubwa kidogo, akamleta kwa binti ya Farao, naye akawa mwanawe.+ Akampa jina Musa* na kusema: “Ni kwa sababu nimemtoa katika maji.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki