Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 59:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 Miguu yao hukimbilia kutenda maovu,

      Nao wanafanya haraka kumwaga damu isiyo na hatia.+

      Mawazo yao ni mawazo yanayodhuru;

      Njia zao zina uharibifu na maumivu.+

       8 Hawajaijua njia ya amani,

      Na hakuna haki katika vijia vyao.+

      Wanazipotosha barabara zao;

      Hakuna yeyote anayetembea humo atakayejua amani.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki