Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 4:25, 26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 “Ikiwa mtazaa wana na wajukuu na kuishi kwa muda mrefu nchini nanyi mtende upotovu na kutengeneza sanamu ya kuchongwa+ ya aina yoyote na kutenda uovu machoni pa Yehova Mungu wenu na hivyo kumkasirisha,+ 26 nachukua mbingu na dunia ili ziwe mashahidi dhidi yenu leo ya kwamba kwa hakika mtaangamia haraka kutoka katika nchi mnayovuka Yordani kwenda kuimiliki. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi hiyo, badala yake mtaangamizwa kabisa.+

  • 2 Wakorintho 6:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 “‘Kwa hiyo, tokeni miongoni mwao na mjitenge,’ asema Yehova,* ‘na mwache kugusa kitu kichafu’”;+ “‘nami nitawakaribisha ndani.’”+

  • 1 Yohana 5:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Watoto wadogo, jiepusheni na sanamu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki