Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 25:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 “Hupaswi kumfunga kinywa ng’ombe dume anapopura nafaka.+

  • 1 Wakorintho 9:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Ni mwanajeshi gani ambaye hutumika kwa gharama yake mwenyewe? Ni nani anayepanda shamba la mizabibu naye asile matunda yake?+ Au ni nani anayechunga mifugo naye asinywe maziwa ya mifugo yake?

  • 1 Wakorintho 9:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Kwa maana imeandikwa katika Sheria ya Musa: “Hupaswi kumfunga kinywa ng’ombe dume anapopura nafaka.”+ Je, ng’ombe dume ndio Mungu anaohangaikia?

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki