4 Mwanadamu anayeweza kufa ni nini hivi kwamba unamweka akilini,
Na mwana wa mtu hivi kwamba unamtunza?+
5 Ulimfanya awe mdogo kidogo kuliko wale walio kama Mungu,
Nawe ukamvika taji la utukufu na fahari.
6 Ulimpa mamlaka juu ya kazi za mikono yako;+
Umeweka kila kitu chini ya miguu yake: