Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ufunuo 13:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Naye akaruhusiwa kuipa pumzi* ile sanamu ya mnyama wa mwituni, ili ile sanamu ya mnyama wa mwituni iweze kusema na pia kufanya wale wote wanaokataa kuiabudu ile sanamu ya mnyama wa mwituni wauawe.

  • Ufunuo 19:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Na yule mnyama wa mwituni akakamatwa, na yule nabii+ wa uwongo pamoja naye, aliyefanya mbele yake ishara alizotumia kuwapotosha wale waliopokea alama ya yule mnyama wa mwituni+ na wale wanaoiabudu sanamu yake.+ Wakiwa bado hai, wote wawili walitupwa ndani ya ziwa la moto linalowaka kwa kiberiti.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki