-
Ufunuo 19:20Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
20 Na hayawani-mwitu akashikwa, na pamoja naye nabii asiye wa kweli aliyefanya mbele yake ishara ambazo kwazo aliongoza vibaya wale waliopokea alama ya hayawani-mwitu na wale ambao hutolea sanamu yake ibada. Huku wakiwa bado hai, wote wawili wakavurumishwa ndani ya ziwa la moto liwakalo kwa sulfa.
-