Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Matendo 10:25, 26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Petro alipokuwa akiingia, Kornelio akamlaki, akapiga magoti miguuni pake, na kumsujudia.* 26 Lakini Petro akamwinua, akisema: “Simama; mimi pia ni mwanadamu tu.”+

  • Ufunuo 22:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Basi mimi, Yohana, ndiye niliyekuwa nikisikia na kuona mambo haya. Niliposikia na kuyaona, nikaanguka chini kuabudu miguuni pa yule malaika aliyekuwa akinionyesha mambo haya. 9 Lakini yeye akaniambia: “Uwe mwangalifu! Usifanye hivyo! Mimi ni mtumwa mwenzako tu na wa ndugu zako manabii na wa wale wanaoshika maneno ya kitabu hiki cha kukunjwa. Mwabudu Mungu.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki