Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wimbo wa Sulemani 7
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Wimbo wa Sulemani—Yaliyomo

    • MSHULAMI AKIWA YERUSALEMU (3:6–8:4)

Wimbo wa Sulemani 7:3

Marejeo

  • +Wim 4:5

Wimbo wa Sulemani 7:4

Marejeo

  • +Wim 1:10
  • +Wim 4:4
  • +Wim 4:1
  • +Hes 21:25; Yos 21:8, 39

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 20

    11/15/1987, uku. 25

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 20

Wimbo wa Sulemani 7:5

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “kichwa chako.”

  • *

    Au “ametekwa.”

Marejeo

  • +Isa 35:2
  • +Wim 6:5
  • +Est 8:15

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    8/15/1996, uku. 7

  • Fahirishi ya Machapisho

    w96 8/15 7

Wimbo wa Sulemani 7:7

Marejeo

  • +Wim 7:3; 8:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    9/15/2007, uku. 32

  • Fahirishi ya Machapisho

    w07 9/15 32

Wimbo wa Sulemani 7:9

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “kaakaa lako.”

  • *

    Tnn., “midomo ya wanaolala usingizi.”

Wimbo wa Sulemani 7:10

Marejeo

  • +Wim 2:16; 6:3

Wimbo wa Sulemani 7:11

Marejeo

  • +Wim 1:14

Wimbo wa Sulemani 7:12

Marejeo

  • +Wim 2:13
  • +Wim 6:11
  • +Wim 1:2; 4:10

Wimbo wa Sulemani 7:13

Marejeo

  • +Mwa 30:14
  • +Wim 4:16

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Wim. 7:3Wim 4:5
Wim. 7:4Wim 1:10
Wim. 7:4Wim 4:4
Wim. 7:4Wim 4:1
Wim. 7:4Hes 21:25; Yos 21:8, 39
Wim. 7:5Isa 35:2
Wim. 7:5Wim 6:5
Wim. 7:5Est 8:15
Wim. 7:7Wim 7:3; 8:10
Wim. 7:10Wim 2:16; 6:3
Wim. 7:11Wim 1:14
Wim. 7:12Wim 1:2; 4:10
Wim. 7:12Wim 2:13
Wim. 7:12Wim 6:11
Wim. 7:13Mwa 30:14
Wim. 7:13Wim 4:16
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Wimbo wa Sulemani 7:1-13

Wimbo wa Sulemani

7 “Miguu yako inapendeza kwelikweli katika viatu vyako,

Ewe binti unayeheshimika!

Umbo la mapaja yako ni kama mapambo,

Kazi ya mikono ya fundi.

 2 Kitovu chako ni bakuli la mviringo.

Kisikose kamwe divai iliyotiwa vikolezo.

Tumbo lako ni rundo la ngano,

Lililozungukwa na mayungiyungi.

 3 Matiti yako mawili ni kama paa wawili wachanga,

Mapacha wa paa.+

 4 Shingo yako+ ni kama mnara wa pembe ya tembo.+

Macho yako+ ni kama vidimbwi kule Heshboni,+

Karibu na lango la Bath-rabimu.

Pua yako ni kama mnara wa Lebanoni,

Unaoelekea Damasko.

 5 Kichwa chako kinakuvika taji kama Karmeli,+

Na mashungi ya nywele zako*+ ni kama sufu ya zambarau.+

Mfalme ameduwazwa* na nywele zako ndefu.

 6 Wewe ni mrembo kwelikweli, nawe unapendeza sana,

Ewe msichana mpendwa, unazidi vyote vinavyopendeza!

 7 Kimo chako ni kama cha mtende,

Na matiti yako ni kama vishada vya tende.+

 8 Nilisema, ‘Nitapanda juu ya mtende

Nishike vitawi vyake vyenye tende.’

Matiti yako na yawe kama vishada vya mizabibu,

Na pumzi yako inanukia kama matofaa,

 9 Na kinywa chako* kama divai bora kabisa.”

“Na ishuke taratibu kwa ajili ya mpenzi wangu,

Itiririke taratibu juu ya midomo ya mpenzi wangu.*

10 Mimi ni wa mpenzi wangu,+

Naye ananitamani.

11 Njoo, ewe mpenzi wangu,

Twende mashambani;

Twende tukapumzike kati ya mimea ya hina.+

12 Tuamke mapema twende kwenye mashamba ya mizabibu

Tuone ikiwa mzabibu umechipuka,

Ikiwa maua yamechanua,+

Ikiwa mikomamanga imechanua.+

Huko nitakuonyesha upendo wangu.+

13 Dudai+ hutoa harufu yake nzuri;

Kwenye milango yetu kuna matunda bora ya kila aina.+

Mapya na pia ya zamani,

Ewe mpenzi wangu, nimekuhifadhia.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki