A7-G
Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Huduma ya Mwisho ya Yesu Kule Yerusalemu (Sehemu ya 1)
WAKATI  | 
MAHALI  | 
TUKIO  | 
MATHAYO  | 
MARKO  | 
LUKA  | 
YOHANA  | 
|---|---|---|---|---|---|---|
33, Nisani 8  | 
Bethania  | 
Yesu awasili siku sita kabla ya Pasaka  | 
||||
Nisani 9  | 
Bethania  | 
Maria ammiminia Yesu mafuta kichwani na miguuni  | 
||||
Bethania-Bethfage-Yerusalemu  | 
Aingia Yerusalemu kwa ushindi, akiwa juu ya punda  | 
|||||
Nisani 10  | 
Bethania-Yerusalemu  | 
Aulaani mtini; alisafisha hekalu tena  | 
||||
Yerusalemu  | 
Makuhani wakuu na waandishi wapanga njama ya kumuua Yesu  | 
|||||
Yehova azungumza; Yesu atabiri kifo chake; kutoamini kwa Wayahudi kwatimiza unabii wa Isaya  | 
||||||
Nisani 11  | 
Bethania-Yerusalemu  | 
Somo la mtini ulionyauka  | 
||||
Yerusalemu, hekalu  | 
Mamlaka yake yatiliwa shaka; mfano wa wana wawili  | 
|||||
Mifano ya wakulima wauaji wa shamba la mizabibu, karamu ya ndoa  | 
||||||
Ajibu maswali kumhusu Mungu na Kaisari, ufufuo, sheria iliyo kuu zaidi  | 
||||||
Auuliza umati ikiwa Kristo ni mwana wa Daudi  | 
||||||
Ole kwa waandishi na Mafarisayo  | 
||||||
Aona mchango wa mjane  | 
||||||
Mlima wa Mizeituni  | 
Ataja ishara ya kuwapo kwake wakati ujao  | 
|||||
Mifano ya mabikira kumi, talanta, kondoo na mbuzi  | 
||||||
Nisani 12  | 
Yerusalemu  | 
Viongozi Wayahudi wapanga njama ya kumuua  | 
||||
Yuda apanga jinsi atakavyomsaliti  | 
||||||
Nisani 13 (Alhamisi alasiri)  | 
Akiwa Yerusalemu na maeneo ya karibu  | 
Matayarisho ya Pasaka ya mwisho  | 
||||
Nisani 14  | 
Yerusalemu  | 
Ala Pasaka pamoja na mitume wake  | 
||||
Awaosha mitume wake miguu  |