1
Elimeleki na familia yake wahamia Moabu (1, 2)
Naomi, Orpa, na Ruthu wafiwa na waume zao (3-6)
Ruthu aonyesha ushikamanifu kwa Naomi na kwa Mungu wa Naomi (7-17)
Naomi arudi Bethlehemu pamoja na Ruthu (18-22)
2
Ruthu aokota masuke ya nafaka katika shamba la Boazi (1-3)
Ruthu na Boazi wakutana (4-16)
Ruthu amweleza Naomi kuhusu fadhili za Boazi (17-23)
3
Naomi ampa Ruthu maagizo (1-4)
Ruthu na Boazi kwenye uwanja wa kupuria nafaka (5-15)
Ruthu arudi kwa Naomi (16-18)
4