Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • nwt kur. 1534-1535
  • Zekaria—Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Zekaria—Yaliyomo
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Habari Zinazolingana
  • Kitabu Cha Biblia Namba 38—Zekaria
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
  • Jinsi Maono ya Zekaria Yanavyokuhusu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • Yehova Achochea Roho ya Watu Wake
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
  • ‘Weka Moyoni Mwako’ Hekalu la Mungu!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1999
Pata Habari Zaidi
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Zekaria—Yaliyomo

ZEKARIA

YALIYOMO

  • 1

    • Mwito wa kumrudia Yehova (1-6)

      • ‘Nirudieni nami nitawarudia’ (3)

    • Maono ya 1: Wapanda farasi katikati ya mihadasi (7-17)

      • “Yehova atalifariji tena Sayuni” (17)

    • Maono ya 2: Pembe nne na mafundi wanne (18-21)

  • 2

    • Maono ya 3: Mtu mwenye kamba ya kupimia (1-13)

      • Yerusalemu litapimwa (2)

      • Yehova, “ukuta wa moto kulizunguka pande zote” (5)

      • Kugusa mboni ya jicho la Mungu (8)

      • Watu wa mataifa mengi watajiunga na Yehova (11)

  • 3

    • Maono ya 4: Kuhani mkuu avishwa mavazi mengine (1-10)

      • Shetani ampinga Kuhani Mkuu Yoshua (1)

      • ‘Nitamleta mtumishi wangu anayeitwa Chipukizi!’ (8)

  • 4

    • Maono ya 5: Kinara cha taa na mizeituni miwili (1-14)

      • “Si kwa nguvu, bali kwa roho yangu” (6)

      • Usidharau siku inayoanza kwa mambo madogo (10)

  • 5

    • Maono ya 6: Kitabu cha kukunjwa kinachopaa angani (1-4)

    • Maono ya 7: Kikapu cha kupimia (5-11)

      • Kina mwanamke anayefananisha Uovu (8)

      • Kikapu hicho chapelekwa Shinari (9-11)

  • 6

    • Maono ya 8: Magari manne (1-8)

    • Chipukizi atakuwa mfalme na kuhani (9-15)

  • 7

    • Yehova awashutumu wanaofunga kwa unafiki (1-14)

      • “Je, kweli mlifunga kwa ajili yangu?” (5)

      • ‘Mtendeane kwa haki, upendo mshikamanifu, na huruma’ (9)

  • 8

    • Yehova aleta amani na ukweli Sayuni (1-23)

      • Yerusalemu, “jiji la ukweli” (3)

      • “Kila mtu amwambie mwenzake ukweli” (16)

      • Siku za kufunga zitakuwa siku za sherehe (18, 19)

      • ‘Twendeni kwa bidii kumtafuta Yehova’ (21)

      • Watu kumi watashika joho la Myahudi (23)

  • 9

    • Mungu ayahukumu mataifa jirani (1-8)

    • Kuja kwa mfalme wa Sayuni (9, 10)

      • Mfalme mnyenyekevu apanda juu ya punda (9)

    • Watu wa Yehova watawekwa huru (11-17)

  • 10

    • Mwombeni Yehova awape mvua, msiombe miungu ya uwongo (1, 2)

    • Yehova awaunganisha watu wake (3-12)

      • Kiongozi kutoka katika nyumba ya Yuda (3, 4)

  • 11

    • Madhara ya kumkataa mchungaji wa kweli aliyetumwa na Mungu (1-17)

      • “Lichunge kundi la kondoo wanaopaswa kuchinjwa” (4)

      • Fimbo mbili: Uzuri na Muungano (7)

      • Mshahara wa mchungaji: vipande 30 vya fedha (12)

      • Fedha hizo zatupwa kwenye hazina (13)

  • 12

    • Yehova atalinda Yuda na Yerusalemu (1-9)

      • Yerusalemu, “jiwe zito” (3)

    • Wamlilia waliyemdunga (10-14)

  • 13

    • Sanamu na manabii wa uwongo waondolewa (1-6)

      • Manabii wa uwongo wataaibika (4-6)

    • Mchungaji atapigwa (7-9)

      • Theluthi ya watu kusafishwa (9)

  • 14

    • Ibada ya kweli yashinda kabisa (1-21)

      • Mlima wa Mizeituni utagawanyika katikati (4)

      • Yehova atakuwa Mungu pekee, na jina lake litakuwa ndilo jina pekee (9)

      • Ugonjwa utakaowapata wanaopigana na Yerusalemu (12-15)

      • Sherehe ya Vibanda (16-19)

      • Kila chungu kitakuwa kitakatifu kwa Yehova (20, 21)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki