Ukuraza wa Pili
Dunia Yetu Iliyoharibiwa—Ni Nani Atakayeiokoa? 3-11
Katika miongo ya karibuni mwanadamu amechafua hewa, maji, na udongo. Ameharibu maliasili ya dunia na akasababisha kuangamia kwa mamia ya aina ya viumbe hai. Wataalamu wengi wa mazingira hujaribu kukomesha uharibifu wa dunia, lakini kuokolewa kwayo kwaweza kuja tu kutoka chanzo kingine.
Ikiwa Mimi Nilipunguza Uzito, Yeyote Aweza! 12
Alikanyaga mizani ya chumba chake cha bafu akachukia alichoona. Alipunguza kilo 30, naye asema wewe waweza kufanya hivyo pia.
Hata Pafu la Chuma Halikumzuia Kuhubiri 18
Kwa moyo mkuu na kwa kupenda uhai, alimsifu Yehova na akafundisha wengine kufanya hivyo.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Cover and above: F4/Simonetti/Sipa