Ukurasa wa Pili
UTOAJI—MIMBA—Kutunga na Kutungua Uhai 3-12
Wenye kupinga utoaji-mimba huandamana wakitetea haki za watoto ambao hawajazaliwa. Wenye kutetea utoaji-mimba uliohalalishwa hushikilia kwamba ni haki ya mwanamke kuamua. Huku vita hii ya kiadili ikiendelea, watoto milioni 50 hadi milioni 60 ambao hawajazaliwa hupoteza uhai wao kila mwaka.
Kufufuliwa kwa Sayansi Kupitia Mapinduzi 13
Katika jitihada yao ya kutafuta kweli ya kisayansi, watu mmoja-mmoja wenye vipawa walitimiza fungu kuu katika kuweka msingi wa sayansi ya kisasa.
“Wakati Bora” Watumiwa Kidogo-Kidogo 16
Neno lililobuniwa kuondoa hatia ya wazazi, ili watumie wakati mchache zaidi na watoto wao.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Picha ya jalada na ya juu, kijusi cha miezi minne: S. J. Allen/Inťl Stock Photo Ltd.
[Picha katika ukurasa wa 2 zimeandaliwa na 2]
Chini: Iliyotolewa kwa Giordano Bruno and Galilei (toleo la Ujerumani)