Ukurasa wa Pili
Kufanya Kazi kwa Bidii—Je! Hufaa Sikuzote? 3-11
Mtu anapoweka kazi yake mbele ya mambo mengine yote, matokeo ni nini? Kufanya kazi kwa bidii kwaweza kufaaje na kuwe chanzo cha furaha badala ya kuwa mzigo?
Tamaa ya Joshua 15
Akiugua ugonjwa wa kansa, Joshua mwenye umri wa miaka saba aliulizwa alitamani nini. Soma juu ya kile alichotamani na jinsi kilivyotimizwa.
Wimbo wa Ndege—Je! Ni Sauti Nyingine Tu Iliyo Tamu? 18
Ni kwa nini ndege huimba? Je! nyimbo hizo zina maana yoyote? Ndege hujifunzaje nyimbo zao? Majibu yanaweza kukushangaza.
[Picha katika ukurasa wa 2]
T. Ulrich/H. Armstrong Roberts