Ukurasa wa Pili
Watoto Walio na Mkazo wa Akili Wanaweza Kusaidiwaje? 3-11
Ni nini ambacho humsababisha mtoto mwenye umri wa miaka mitano ajaribu kujiua? Kwa nini mtoto mwenye umri wa miaka saba kwa ghafula aanze kusababisha aksidenti mara kwa mara? Ni nini chanzo cha magonjwa ya utotoni ambayo hayana sababu yoyote?
Moyo wa Kumweka Mungu Kwanza 12
Jinsi ujasiri wa watoto wadogo ulivyofanya Mahakama Kuu ya U.S. igeuze maamuzi.
Hisi Yetu ya Kunusa Inayobadilika-Badilika 23
Bila hiyo, kumbukumbu nyingi zingepotea na ladha nyingi hazingethaminiwa.