Ukurasa wa Pili
Maadili Yanaelekea Wapi? 3-10
Katika pande zote za maisha—ziwe za kidini, kiuchumi, kisiasa, kijamii, kingono,— maadili yanapotea. Kwa nini jambo hili liko hivyo? Maadili yanaelekea wapi?
Je! “Agano Jipya” Linapinga Watu wa Kiyahudi? 11
Watu fulani hudai kwamba “Agano Jipya” linaonea watu wa Kiyahudi. Je! hiyo ni kweli?
Je! Familia Yangu Ichanjwe? 22
Je! ni lazima kudungwa sindano za chanjo? Je! kuna visehemu vya damu katika yoyote ya chanjo hizo? Vipi juu ya athari za chanjo?