Ukurasa wa Pili
Je! Jamii Zote Zitapata Kuungana Wakati Wowote? 3-11
Ni kwa nini ubaguzi na uonevu wa kijamii umeenea sana? Je! tofauti za kimwili kati ya jamii mbalimbali zamaanisha kwamba zatofautiana kimsingi? Je! watu wa jamii tofauti waweza kuishi pamoja kwa amani?
Vijiwe vya Figo—Kutibu Maradhi ya Kale 20
Vyapatikana kwa wingi kadiri gani? Ni kwa nini watu huvipata? Ni matibabu gani ya kutazamisha ambayo yananufaisha wauguaji? Ugonjwa huo waweza kuepukwaje?
Nyalaland—Paradiso Ambayo Haijaharibiwa na Binadamu 23
Masimulizi haya kuhusu wanyama wa porini katika Nyalaland, sehemu kubwa ya matembezi katika Mbuga ya Kitaifa ya Kruger ya Afrika Kusini, yatakuvutia.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Leonardo On The Human Body/Dover Publications, Inc.