Ukurasa wa Pili
Jumuiya ya Wakristo—Yaelekea Wapi? 3-12
Wakati wa miongo ya hivi karibuni makanisa ya Jumuiya ya Wakristo yamepoteza uvutio na makundi yao. Hilo hasa ni dhahiri katika Ulaya, ambako kuna makanisa mengi yaliyo tupu. Je! kupunguka huku kwa dini kwamaanisha kwamba Ukristo utakuwa dini ya kikale?
Naweza Kuepukaje Kupata UKIMWI? 13
UKIMWI sasa umo miongoni mwa magonjwa ya kupitishwa kingono yanayowapata vijana ulimwenguni pote. Ni nini kilicho kizuizi chenye matokeo zaidi dhidi ya mweneo wa UKIMWI?
Shule Mpya Katika Afrika 16
Mashahidi wa Yehova katika Nigeria wamesogeza kwa hatua zaidi programu yao ya elimu kwa kuanzisha shule mpya ya mazoezi ya pekee.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Jalada na juu: Kushoto, T. B. G. /TSCHAEN/WITT/Sipa Press; kulia, UK PRESS/GAMMA Liaison