Ukurasa wa Pili
Upweke Unaloweza Kufanya Nao 3-11
Ni tatizo ambalo ni lazima utatue wewe mwenyewe. Kuna masuluhisho kadhaa. Moja layo kwa hakika litakusaidia ushinde pambano lako dhidi ya upweke.
Uthibitisho wa Mafaa ya Maziwa ya Mama 12
Ni chakula bora zaidi—hupigana na maradhi, hupatikana kwa urahisi, na hakigharimu kitu.
“Ee, Yehova, Msaidie Msichana Wangu Mchanga Aendelee Kuwa Mwaminifu!” 15
Jinsi sala ya mama kwa ajili ya binti yake ilivyojibiwa.