Ukurasa wa Pili
Ni Nani Atakayelinda Wanyama Wetu wa Pori? 3-11
Uharibifu wa wanyama wa pori katika Afrika ni mfano halisi wa hali iliyo katika sehemu nyingine za ulimwengu. Pupa na ushirikina ni mambo mawili kati ya yale mambo yanayochangia mauaji ya ovyoovyo ya wanyama. Kwa kweli ni nani anayejali?
Nikiwa Mkimbizi, Nilipata Haki ya Kweli 12
Simulizi lenye kuhuzunisha la Mpalestina-Mgiriki aliyejitahidi kupata maisha mapya katika nchi tofauti kabisa.
Uthibitisho Uonekanao wa Yale Maangamizo 16
Kwa kawaida yale Maangamizo huhusianishwa na yale machinjo ya mamilioni ya Wayahudi. Jumba mpya la hifadhi lakumbuka pia wengine walioteswa katika Maangamizo hayo.