Ukurasa wa Pili
Ulimwengu Bila Maradhi—Je! Wawezekana? 3-10
Wanadamu wamekumbwa na maradhi kwa karne nyingi. Je! kutapata kuwa na wakati ambapo maradhi yote yatamalizwa?
Je! Katuni Zenye Jeuri za Televisheni Hudhuru? 11
Watoto hutumia muda wa saa nyingi wakitazama katuni za televisheni. Je! kufanya hivyo huwadhuru?
Ni Nani Awezaye Kunisaidia Kusuluhisha Matatizo Yangu? 15
Vijana hukabili matatizo mengi magumu siku hizi. Wao waweza kupata msaada wapi?