Fumbo la Kujaza Maneno
Madokezo Kulia
1. Njiwa aliyetumwa na Noa baada ya furiko alileta tawi kutoka kwa mti huu (Mwanzo 8:11)
5. Wakati wa njaa kali, robo ya kipimo hiki cha mavi ya njiwa ilikuwa vipande vitano vya fedha (2 Wafalme 6:25)
8. Sehemu ya mto ambako Ezra alikusanya pamoja Wayahudi waliokuwa wakirudi Yerusalemu (Ezra 8:31)
10. Mahali ambapo Israeli ilisemwa kuwa imemweka Yehova ‘kwenye jaribu’ (Kumbukumbu la Torati 6:16)
11. Kumeza (2 Samweli 2:26)
15. Mgadi aliyeishi katika eneo la Bashani (1 Mambo ya Nyakati 5:12)
19. Mkasa huu ulipata mazao ya Israeli kwa sababu ya taifa hilo kukosa kuwa jaminifu (Hagai 2:17)
20. Jina la mke wa Mfalme Sauli na vilevile mke wa pili wa Daudi (1 Samweli 14:50; 25:43)
Madokezo Chini
1. Sifa ya mwanamke aliyelowesha miguu ya Yesu kwa machozi na kuyapangusa kwa nywele yake (Luka 7:37)
2. Huyo aliye wa ukoo wa Lawi alikuwa babu ya mwanamuziki Asafu (1 Mambo ya Nyakati 6:41, NW)
3. Silaha inayotajwa mara nyingi katika Maandiko ya Kiebrania (Waamuzi 7:20)
4. Wanaume wawili mashujaa wa Daudi walikuwa na jina hili (2 Samweli 23:8, 26, 38)
5. Mapema (Matendo 10:30)
6. Mmoja wa wana kumi wa Hamani (Esta 9:8, 10)
7. Mtu apaswa kutii Mungu akiwa na cheo hiki, kuliko wanadamu (Matendo 5:29, NW)
9. Tabia ya nje (Ayubu 36:9)
12. Walimletea Yehoshafati kodi ya kondoo waume 7,700 na mabeberu 7,700 (2 Mambo ya Nyakati 17:11)
13. Chombo cha mti wa mshita ambamo sheria za pili za mawe alizopewa Musa ziliwekwa kwa muda (Kumbukumbu la Torati 10:1-5)
14. Vuruga (2 Wafalme 3:19)
16. Sehemu moja inayofanyiza uvumba mtakatifu (Kutoka 30:34)
17. Ijapokuwa mke wa pili wa Abrahamu, Ketura aliitwa hivi, kwa kuwa hakufikia cheo cha Sara (1 Mambo ya Nyakati 1:32)
18. Babake Shekania, baba-mkwe wa Tobia Mwamoni (Nehemia 6:18)
[Sanduku katika ukurasa wa 21]
Ufumbuzi wa Fumbo
Ufumbuzi wa Kulia
1. MZEITUNI
5. KIBABA
8. AHAVA
10. MASA
11. KULA
15. YANAI
19. UKUNGU
20. AHINOAMU
Ufumbuzi wa Chini
1. MKOSAJI
2. ETHNI
3. UPANGA
4. IRA
5. KITAMBO
6. ADALIA
7. MTAWALA
9. MATENDO
12. WAARABU
13. SANDUKU
14. HARIBU
16. NATAFI
17. SURIA
18. ARA