Ukurasa wa Pili
Ni Nini Kitakachounganisha Ulimwengu? 3-15
Rangi, dini, na utaifa hugawanya watu. Je! ulimwengu waweza kuungana wakati wowote? Soma juu ya muungano uliofurahiwa katika Ulaya ya Mashariki ambao ulistaajabisha ulimwengu. Jifunze jinsi ulimwengu wote utakavyoungana karibuni.
Ni Nini Kilichoipata Krismasi ya Kidesturi? 16
Wakati wa karne ya 19, kupendwa kunakopunguka kwa Krismasi kulihuishwaje? Chanzo cha Krismasi ni nini na desturi zayo ni zipi?
Kuishi Maisha Maradufu—Kwa Nini Nisifanye Hivyo? 25
Kwa nini vijana wengi huishi maisha maradufu? Matokeo ya kufanya hivyo ni yapi?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Jalada: Picha ya NASA
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Thomas Nast/Dover Publications, Inc. 1978