Faharisi ya Buku la 74 la Amkeni!
AFYA NA DAWA
Ikiwa Mimi Nilipunguza Uzito, Yeyote Aweza! 1/22
Kifo Katika Mabawa Mepesi (Malaria), 5/8
Kuchanjwa, 8/8
Kufanya Kazi kwa Bidii—Hufaa Sikuzote? 6/22
Kuzeeka, 8/8
“Madaktari Wafikiria Upya Utiaji-Damu Mishipani,” 1/22
Mamilioni Wanateseka (“Tohara” ya Wanawake), 4/8
Mashahidi wa Yehova na Wastadi wa Tiba Washirikiana, 11/22
Matokeo ya Hasira, 7/8
Mazoezi Huwanufaisha Wazee-Wazee? 10/22
Meno Bandia, 2/22
Miwani, 7/8
Silaha Mpya Dhidi ya Malaria, 11/8
Tiba ya Akili na Mwili (Kicheko), 4/22
Ulimwengu Bila Maradhi—Je! Wawezekana? 12/8
Uthibitisho wa Mafaa ya Maziwa ya Mama, 9/22
Vijiwe vya Figo, 8/22
DINI
Jumuiya ya Wakristo—Yaelekea Wapi? 9/8
Kanisa Anglikana la Australia—Nyumba Iliyogawanyika, 8/22
Krismasi—Hugharimu Zaidi ya Ufikirivyo? 11/22
Krismasi ya Kidesturi, 12/22
Maisha Moja ya Pekee (Yesu Kristo), 5/22
Makasisi Wadhulumiaji-Kingono, 4/8
Mungu Huunga Mkono Vita? 4/22
Mwisho wa Ulimwengu—Ni Karibu Kadiri Gani? 3/22
Sikukuu—Sababu Inayofanya Watoto Fulani Wasizisherehekee, 11/22
Utoaji-Mimba, 5/22
Uvumilio wa Kidini—Miaka 500 Baadaye! (Uhispania), 1/8
“‘Yehova’ Afutwa na Wanazi,” 5/8
MABARA NA WATU
Bustani za Japani, 6/22
Kufuga Kondoo (Australia), 3/8
Mahali Ambapo Ng’ombe Hupuruka, 6/22
Maisha ya Jijini Katika Miteremko ya Vilima vya Caracas, 12/8
Msiba wa Kimazingira (Uhispania), 8/22
Mto wa Barafu wa Arjentina Usio na Kifani, 1/22
Nyalaland—Paradiso Ambayo Haijaharibiwa, 8/22
Safari ya Basi ya Kwenda Katikati ya Australia, 6/8
Tamaa Zilizobadili Ulimwengu (India), 2/22
Uvumilio wa Kidini—Miaka 500 Baadaye! (Uhispania), 1/8
Vitu vya Kuchezea vya Afrika, 3/22
MAHUSIANO YA KIBINADAMU
Jamii Zote Zitapata Kuungana Wakati Wowote? 8/22
Jeuri ya Nyumbani, 2/8
Kunajisiwa—Hofu Kuu ya Wanawake, 3/8
Kuthamini Wazazi Wanaomwogopa Mungu, 8/8
Kuwafariji Watu Wazima Waliookoka Ono Lenye Kutaabisha Walipokuwa Watoto, 10/8
Linda Watoto Wako! (Kutendwa Vibaya Kingono), 10/8
Madokezo kwa Wazazi wa Kambo, 7/8
Maisha ya Ndoa—Kuyafanya Yawe Yenye Furaha, 7/8
Talaka—Ni Mlango wa Kupata Furaha Zaidi? 7/8
Tumbuiza Rafiki Zako, 4/22
Upweke, 9/22
“Wakati Bora” Watumiwa Kidogo-Kidogo, 5/22
Watoto Walio na Mkazo wa Akili, 7/22
MAMBO MENGINE
Jumba la Hifadhi ya Uangamizo, 5/8, 11/8
Katuni Zenye Jeuri za Televisheni Hudhuru? 12/8
Kusomea Nyumbani, 4/8
Kutafuta Hazina ya Aina Tofuati (Mawe), 7/8
Mafumbo ya Kujaza Maneno, 4/8, 6/8, 8/8, 12/8
Mashindano ya Mbio ya Baiskeli—Mazuri na Mabaya Yayo, 7/8
Mfanyakazi Mwenye Bidii wa Angani (Helikopta), 3/8
Olimpiki (Barcelona), 1/22
Shimo Kubwa Zaidi Ulimwenguni Lililopata Kuchimbwa na Binadamu, 3/8
Tekinolojia ya Kale—Maajabu ya kisasa (Unyunyizaji wa Maji), 2/22
“Tupeleke Kadi,” 8/8
Umaridadi wa Opali, 10/22
Unaweza Kufanya Kusafiri kwa Ndege Kuwe Salama Zaidi, 1/8
Visanamu, 5/22
Wala Theluji Wala Mvua Wala Wingi Havizuii Upelekaji Barua, 4/8
MAMBO NA HALI ZA ULIMWENGU
Dunia Yetu Iliyoharibiwa, 1/22
Kionyeshi cha Uhuru, 2/8
Kunajisiwa—Hofu Kuu ya Wanawake, 3/8
Kupanga Uzazi, 2/22
Maadili Yanaelekea Wapi? 8/8
Mamilioni Wanateseka (“Tohara” ya Wanawake), 4/8
Muziki wa Kisasa, 6/8
Ni Nani Atakayelinda Wanyama wa Pori? 11/8
Ni Nini Kitakachounganisha Ulimwengu? 12/22
Serikali ya Ulimwenguni—Je! Umoja wa Mataifa Ndilo Jibu? 9/22
Ulimwengu Mpya U Karibu? 10/22
Ulimwengu Unaobadilika, 1/8
Utoaji-Mimba, 5/22
MAONI YA BIBLIA
“Agano Jipya” Linapinga Watu wa Kiyahudi? 8/8
Dhamiri Yako Ni Kiongozi Chako? 7/8
Kristo Yupo! 5/8
Kwa Kweli Twahitaji Makasisi? 10/8
Mama Kumzalia Mwanamke Mwingine Mtoto, 3/8
Mateto na Maandamano, 2/8
Michango ya Kutoa Misaada, 6/8
Mizungu, 9/8
Msamaha wa Mungu ni Kamili Kadiri Gani? 12/8
Ni Lazima Tutimize Nadhiri Zetu? 4/8
Yehova Ni Mungu wa Vita? 11/8
MASHAHIDI WA YEHOVA
Hata Pafu la Chuma Halimkuzuia Kuhubiri (L. Nisbet), 1/22
Kimbunga Andrew, 1/8
Kitumbuizo Kilikuwa Mungu Wangu (V. Weekes), 10/22
Kiu Yangu ya Mungu Yaridhishwa (H. Durán), 8/22
Kumkaribia Mungu Kulinisaidia Niwezane na Hali (M. Pavlow), 3/22
Kusaidia Familia Yangu Iwe na Ufanisi wa Kiroho (J. Busane), 10/8
Kushika Ukamilifu-Maadili Katika Ujerumani ya Nazi (J. Rehwald), 2/8
Kutoka Kuwa Polisi Hadi Kuwa Mhudumu Mkristo (H. Clift), 11/22
Maisha Yenye Kuthawabisha Nijapokuwa Pekee (J. Abernathy), 2/22
Maoni Yangu Nikiwa Mwanahistoria wa Kijeshi (G. Griswold), 4/22
Mashahidi na Wastadi wa Tiba Washirikiana, 11/22
Mfano wa Uaminifu wa Baba Yangu (M. Davey), 12/22
Moyo wa Kumweka Mungu Kwanza (L. Gobitas Klose), 7/22
“Msaidie Msichana Wangu Mchanga Awe Mwaminifu!” (S. Liebster), 9/22
Nikiwa Mkimbizi, Nilipata Haki ya Kweli (C. Louisidis), 11/8
Nyumba ya Ibada Yachomwa Moto (Korea), 4/22
Sababu Iliyonifanya Niache Ukasisi (A. de Santa Rita Lobo), 9/8
Safari ya Basi ya Kwenda Katikati ya Australia, 6/8
Shule Mpya Katika Afrika (Nigeria), 9/8
‘Sijakutana Kamwe na Mmoja Ambaye Sijampenda,’ 9/8
amaa ya Yoshua (Mtoto Mwenye Kansa), 6/22
Umoja Unaostaajabisha Ulimwengu, 12/22
Wahamia Puerto Riko, 9/8
Washindi Wajapokabiliwa na Kifo, 5/8
Watetewa Katika Vita ya Kutunza Watoto, 10/8
Watu Wanaojali, 2/22
SAYANSI
Dini na Sayansi—Mchanganyiko Mbovu, 5/8
Inaweza Kutosheleza Mahitaji Yetu? 4/8
Jitihada Inayoendelea ya Ainabinadamu ya Kutafuta Kweli, 4/8
Jitihada ya Kutafuta Yaanza (Kweli ya Kisayansi), 4/22
Kufanya Miujiza Katika Karne ya 20, 6/8
Kufufuliwa kwa Sayansi Kupitia Mapinduzi, 5/22
Kunusa, 7/22
Kutatua Matatizo ya Karne ya 21, 4/8, 6/22
Tundu la Ozoni, 9/22
Vimondo, 3/22
Vipandaji vya Kifumbo vya Pepo za Kimbingu (Aurora Borealis), 9/22
UCHUMI NA KAZI YA KUAJIRIWA
Kadi za Mkopo—Je! Uzitumie? 12/8
Kufanya Kazi kwa Bidii—Hufaa Sikuzote? 6/22
VIJANA HUULIZA
Kamari, 8/8
Kazi ya Shule ya Kufanyia Nyumbani, 4/8
“Kupita Kiasi” Kwafika Wapi? 10/22
Kuzurura-zurura, 6/22
Maisha Maradufu, 12/22
Mapenzi Yaliyovunjika, 5/8
Muziki, 2/8, 2/22, 3/22
Ndoto za Mchana, 7/8, 7/22
Ni Nani Awezaye Kunisaidia Kusuluhisha Matatizo Yangu? 12/8
Niende Kwenye Dansi ya Uhitimu? 3/8
Nihamie Nchi Yenye Utajiri Zaidi? 4/22
UKIMWI, 8/22, 9/8
Ukuzi wa Kimwili, 9/22, 10/8
Ulemavu, 5/22, 6/8
Unywaji, 1/8, 1/22
Wazazi Wenye Hali ya Moyo Ibadilikayo, 11/8, 11/22
WANYAMA NA MIMEA
Alama Nyekundu Juu ya Theluji, 3/22
Bunju-Miba—Samaki Mdogo, Mwenye Sifa Nyingi, 7/22
Bustani za Japani, 6/22
Dondoro, 1/8
Farasi Walikuwa Maisha Yangu, 5/22
Fira Wanaosikia Sauti, 7/22
Heroe, 2/8
Kipepeo, 10/8
Kufuga Kondoo, 3/8
Kwagga, 4/22
Madubwana Wenye Kuvutia wa Kaskazini mwa Kanada (Dubu-Barafu), 12/8
Mahali Ambapo Binadamu na Kasa Hukutana, 3/22
Mchekeshaji Mwenye Manyoya wa Ziwa Viktoria, 3/22
Mkunga, 10/22
Mrukaji-Ghafula Mwenye Ukimya (Bundi), 3/8
“Mti Wenye Mafaa Zaidi kwa Binadamu” (Mnazi), 10/22
Mtoto Ataka Mnyama-Rafiki, 1/22
Nani Atakayelinda Wanyama Wetu wa Pori? 11/8
Ngiri Mwenye Ucheshi, 11/22
Nondo au Kipepeo? 5/8
Nyati, 6/8
Nyungunyungu wa Gini, 2/8
Tandala Afanya Simba Waaibike, 11/22
Tule Mhogo! 11/8
Wahandisi Stadi (Mchwa), 11/8
Wakaguzi wa Usafi wa Angani (Tai-mzoga), 2/22
Wanamuziki Wanaoruka (Wadudu), 4/8
Wimbo wa Ndege, 6/22