Ukurasa wa Pili
Kuwasiliana Katika Ndoa 3-12
Wanawake huhitaji kueleza hisia. Wanaume hutaka kutoa masuluhisho. Je! jambo hilo hutokeza matatizo katika uwasiliano? Je! hutokeza mabishano? Au, je, kulielewa tatizo hilo kwaweza kutokeza nyumba yenye furaha?
Mabwawa ya Ulimwengu—Hazina za Kimazingira Zinazoshambuliwa 13
Mabwawa yamechangia sana mazingira mazuri, na huku yanaharibiwa ulimwenguni pote.
Naweza Kuachaje Maisha Maradufu? 18
Je! umenaswa katika maisha maradufu, ukificha mambo kutoka kwa wazazi wako na Wakristo wenzako? Kuna hatua unazoweza kuchukua za kuacha kuishi maisha maradufu.